Tambua namna na athari z ugonjwa wa macho na matibabu yake

UGONJWA WA MACHO NA M ATIBABU YAKE YALIOMO (1)Utangulizi (2)Sababu ya ugonjwa wa macho (3)Dalili za ugonjwa wa macho (4)Matibabu ya ugonjwa wa macho (1) UTANGULIZI Watu wenge husumbuliwa na matatizo ya macho na hupata tabu sana jinsi ya kujilinda na kujitibu wawapo nyumbani.Kutokana na ugonjwa huu napenda tuungane na tuweza kupeana ujuzi na elimu ya ugonjwa huu. Kuna aina nyingi za maginjwa ya macho ila kwa leo ningependa tujifunze ugojwa ugonjwa wa macho uitwao Conjuctivitis na muda mwengine huitwa Cold virus Conjuctivitis ni ugonjwa wa macho unao sababisha vivimbe katika sehemu ya ndani ya jicho (2) SABABU ZA UGONJWA WA CONJUCTIVITIS Kuna sababu mbalimbali kutegemea na aina ya uambukizwaji wake kama bacteria au virusi.Zifuatazo ni mgongoni mwa sababu zinazopelekea kutoka kwa ugojwa huo 1.Athari za ugonjwa wa mapafu Ocular Histoplasmosis (OHS) Atharii hii hupanda na kufika katika retina ya jicho na kuharibu uwezezo wa retina kufanya kazi 2.Wagonjwa ya zinaa.Wagonjwa ya zinaa kama gono na kaswende hupelekea ugonjwa huu haswa pale muathirika wa magonjwa hayo kujishika sehemu za siri na kujishika tena katika macho yake huvisafirisha wadudu hao na kusababish athari katika macho.pia kwa mama mjamzito mwenye magojwa hayo ya zinaa huweza kumuathiri mtoto na kupata magonjwa hayo na ugonjwa wa macho 3.Magonjwa ya kisukari,kifua kikuu na ukoma.magonjwa hayo huweza pia kuvihamisha vimelea vyake na kuathiri macho (4) DALILI ZA UGONJWA WA CONJUCTIVITIS Zifuatazo ni miongoni mwa dalili za ugonjwa huu kama ifutavyo; -Macho kua mekundu -Macho kuwasha - Macho kutokwa na machozi yenye rangi (5) MATIBABU YA UGONJWA WA CONJUCTIVITIS 1.Maji ya uvuguvugu. Maji haya husaidia kupunguza vijivimbe vilivyo ndani ya macho kwa kuchua kwa dakika 4-5.Baada ya kuchua pakaa mafuta yawaridi (Rose oil) mafuta hayo yatakusaidia kupunguza maumivu na kulainisha 2.Majani ya mapera. Chukua majani ya mpera safisha na yachemshe.Baada ya kuchemsha chukua kitambaa kisafi na chua kwenye macho hii itakusaidia kupunguza wekundu wa macho na kupunguza utokwaji wa machozi 3.Asali mbichi. Chukua asali mbichi na dondoshe katika macho.Pia waweza kuchemsha maji ya uvuguvugu na kuchanganya na kijiko kimoja cha asali mbichi na kuchua katika macho kutwa mara 3 4.Maua ya Jasmine. chukua maua na yatwange kisha weka kwenye maji safi na chuja kupata cjuisi ya maua hayo kisha weka juisi hiyo kwenye chombo na funika acha kwa Siku moja baada ya hapo dondoshea matine 2×3 5.Matine ya asili (Natural eye drops). Chukua chumvi kijiko kimoja changanya na unga manjano weka kwenye vikombe viwili vya chai nawa mchanganyiko huo ×3 Shukrani sana kwa kufuatilia makala zangu tafadhali usisahau kutoa maoni,mapendekezo,swali na share kwa wengine wapate elimu hii ahsante END

Comments

Popular posts from this blog

Magonjwa ya sikio na mtibabu yake