Magonjwa ya sikio na mtibabu yake
MAGONJWA YA SIKIO NA MATIBABU YAKE (A) UTANGULIZI. Kwanza napenda kutoa shukurani kubwa kwa wale wote wanao share na ku subscribe na kutoa comment zako.Maradhi haya ya sikio mara nyingi hukumba sana watu katika umri wa utoto na hatimae kukua wakia na maradhi haya.Magonjwa hayo husababishwa na ima kwa bakteria ama virusi na kuathiri sehemu mbalimbali za sikio.Bakteria au virusi hivyo katika sehem ya kati ya sikio (middle ear) na kuharibu ngoma ya sikio.Kuna sehem ya sikio iitwayo Eustachian tube,sehemu hii hutunza maji maji katika sikio kutokana na mashambulizi ya bakteri hupelekea kushambulia mikija hii na maji maji hayo kwenda katika sehem ya kati ya sikio na kuleta madhara (B) DALILI ZA MAJONJWA YA SIKIO. ~Maumivu makali katika sikio ~Muwasho katika sikio ~Kutokwa na usaha katika masikio ~Kupoteza usikivu ~Sikio kutoa harufu (C)MATIBABU YA MAGONJWA YA SIKIO. *Tangawizi.Mara nyingi sana tangawizi hutumika katika magonjwa ya sikio kwani hutumika kama antibiotic, antibact...